Recent content by Peter kayuni

  1. P

    JamiiForums Msaada: jinsi ya kununua app playstore

    Shukrani sana. Mimi nataka kulipia application kwenye google play store ila kuna option ya kuchagua payment method na wameweka cretit card au master card (kama sijakosea) sasa hiyo cash card intaiweka kwenye option gani kati ya hizo au ni kitu kingine kabisa kwenye hizo option?
Back
Top Bottom