Recent content by Peter Kagyabukama

  1. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Nipo pamoja na wewe mwanaharakati
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tui-support Association ya AMETT

    Sawa Mkuu muhimu wawe wanaweka link ya YouTube tunaenda kuwapa views
  3. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Mungu akubariki sana kijana Ahsante sana nimekuelewa vyema sana basi nyuki ana faida sana kama ndio hivi
  4. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Mkuu naomba kujua Faida za sumu NYUKI pale mtu anapoumwa na nyuki nasikia ile sumu ina Faida nyingi kwa binadamu Naomba kufahamu zaidi faida za sumu ya nyuki
  5. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Mkuu nimekucheck inBox haujajibu
  6. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Kwa sisi wenye iPhone 15 Pro tunapigaje kura?
  7. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Nina maandiko mengi sana na ningeweka hakuna wa kunishinda tatizo JamiiForums wanaripa washindi kwa Fedha za TANZANIA. Mimi huwa sipokei Tshs. Malipo ninayopokea ni pound na dollar tu. Maandiko yangu yapo kwa kiingereza na JamiiForums wanataka kwa kiswahili na mie kiswahiri kinanipa shida
  8. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Kijana Lumola utanisamehe Kiswahili yangu ni ya shida kidogo ila mimi Kagyabukama ndio muhaya wa kwanza kushare story kwa waheshimiwa Kwahiyo inabidi unipe shukrani za tofauti na watu wengine
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini isichukuliwe ile Rasimu ya Katiba Mpya ya Jaji Warioba?

    Umeongea point sana
Back
Top Bottom