Recent content by Peter Kabisa Mpelasoka

  1. P

    JamiiForums Tanzania Rav4 for sale

    Rav 4 nyingine hata za 1995 bila Tshs 19m hujaipata toka yard!! Kwa ubora wake hii ni sawa yake, cha msingi ni inspection na documents!!
  2. P

    JamiiForums Tanzania Twende NGORONGORO CRATER 27/12/2016

    Toka lini coaster ikatelemka Ngorongoro crater?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Unataka product huzi za nje kwa bei nafuu, nusu ya zinavyouzwa bongo

    Mkuu, kweli nakataa kuwa kwa Rav 4, TRA wakuchune 3m tu bandarini?? Ni calculator gani watatumia? Ukubwa wa engine ni chini ya 600cc? Elimisha raia wafahamu.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Land cruiser inauzwa

    Ndani, engine pia. WhatsApp # +966 501 505 168.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Land cruiser inauzwa

    Hello, Tuma picha zaidi,
  6. P

    JamiiForums Tanzania RAV 4 old model inahitajika

    Hello, Hiyo ya 8.5 m uko wapi, picha tafadhari!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nina m8 nahitaji gari.

    New model ni za mwaka 2017. !!!!! [emoji4] [emoji4] [emoji4]
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nissan March bei 5.3M

    Ok, nimekupata.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nissan March bei 5.3M

    Ok, ni dalali au mwenye gari?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nissan March bei 5.3M

    Ok, nitakucheck kwa WhatsApp.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nissan March bei 5.3M

    Ni ya mwaka gani, imetembea kilometres ngapi, engine cc ngapi? Tafadhari.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Car4Sale TOYOTA Passo 4piston

    Hello, nitumie maelezo muhimu kuhusu hii passo, km mwaka, kms, picha zaidi, engine ndani ya gari pia, Tuma kwa WhatsApp: @ +966501505168. Ahsante.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nauza toyota starlet bei poa kabisa

    Hello, ni mwaka gani, imetembea kms ngapi, na unapatikana wapi?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Car4Sale TOYOTA Passo 4piston

    Hello, unapatika wapi ndani ya Tz?
  15. P

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuongea kiingereza kwa miezi mitatu

    Kibongo, bongo!!!
Back
Top Bottom