Recent content by peter jeoff k

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mafuta kituo cha Puma Sinza Kijiweni

    Asante mkuu nafikili dio sinza tu, na maeneo mengine. Dawa mkuu ni kusimama nje ya gari uende nao sambamba. Wakat mwingin wanawekaga upepo tu uku pump ikisoma. Wakat mwingin tusione noma tununulie kwenye vidumu vidumu kama madreva taxi hiyo ndo dawa komesha
Back
Top Bottom