Recent content by Peter Bundala

  1. P

    TRA, kwanini ni wagumu sana kuwatoa Walipakodi kwenye VAT & E-filling?

    mfumo wa kodi unafilisi wafanyabiashara wadogo
  2. P

    TRA wameniongezea kodi huu mwezi 12 kutoka laki 7 hadi mil 3

    Kuna utaratibu wa kulipia fire huwa wanazunguka kwenye maduka wanakagua
  3. P

    TRA wameniongezea kodi huu mwezi 12 kutoka laki 7 hadi mil 3

    Kwa hiyo ulikubaliana na hiyo kodi ukalipa
  4. P

    TRA wameniongezea kodi huu mwezi 12 kutoka laki 7 hadi mil 3

    Humu kwenye mil 100 Kuna Faida ya mil 5 je biashara nitaimudu kwel
  5. P

    TRA wameniongezea kodi huu mwezi 12 kutoka laki 7 hadi mil 3

    Asante kaka naphtha changamoto sana Juu ya kuendesha biashara
  6. P

    TRA wameniongezea kodi huu mwezi 12 kutoka laki 7 hadi mil 3

    1.Bank ninamkopo Riba tu nalimwa 2m kwa mwaka 2. Kodi ya pango ni mil 1 kwa mwaka 3.hela ya reseni ni 150,000 4. Fire nalipia 80,000 5. Ushuru wa usafi Kila mwezi ni 4000 kwa mwaka ni 48,000 6.kodi mil 3 7.sasa nipo niingia vat, kumlipa mhasibu Kila mwezi ni 100,000 kwa mwaka 1,200,000 8...
  7. P

  8. P

    Sasa tutafanya hadi lini biashara ya kutoa rushwa kwa mantiki hiyo kila mfanyabiashara anatoa rushwa
  9. P

    TRA wameniongezea kodi huu mwezi 12 kutoka laki 7 hadi mil 3

    Huwa wanatumia kigezo gani hadi kuogeza makadirio wakati imebaki wiki moja mwaka kuisha Sasa hilo deni linalipikaje sio kunipa mzigo mkubwa
Back
Top Bottom