JamiiForums Tanzania
Lugha yetu
Tanzania ni moja kati ya nchi pekee ambayo watu wanaanza kusalimia kwa kingereza kwenye mitandao harafu ni kiswaili tupu, tena jumbe zao zina vifupisho na maneno yasio fasaha hadi kelo, heti xaxa, p ndio poa, na mwisho wa siku wanaangana kwa kingereza tena utaona g9 badala ya goodnight, hivi...