Me nilipata placement kwenye taasisi A mwez wa 12 mwaka jana nikiwa mtumishi wa umma tayari, Mwajiri mpya akanipa maelekezo kama uliyopewa wewe...Nimekuja kupata barua ya KM-Utumishi ya uhamisho July 2024 now nipo kwa mwajiri mpya. So cha kufanya push barua yako ya uhamisho iwahi kutoka utumishi...
Aisee mpaka uje kupata kibali cha uhamisho ukachinje mbuzi! Watu wanamaliza mwaka sasa hivi vibali vya uhamisho hawapewi....! Hii nchi kila kitu mpaka connection
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.