Recent content by perlalupandisha

  1. perlalupandisha

    Naweza kubadili kozi nikifika chuoni?

    Ndugu mkopo unapewa tuu,, sema unaeza pungua kulingana na koz,, coz kila koz ina maxmum loan yake n mambo ka special faculty pia ya inaeza panda au shuka
  2. perlalupandisha

    Naweza kubadili kozi nikifika chuoni?

    Dogo cha msing,, ukifka chuo consetrate in yo studies kwa njia hyo ndo utafanikiwa bt ukipenda mambo meng itakua vigum kidogo kutoka ndugu yangu
  3. perlalupandisha

    Je itakuwa mimba au ?

    Muulize vizur atakua kakudanganya coz toka mwez wa sita mpaka mwez wa nane siku anaduu alikua hajaingia bleed, may b ana matatizo,, coz ukiwa normal bleed must kila mwez...
  4. perlalupandisha

    Naweza kubadili kozi nikifika chuoni?

    Ya ukifika chuo unaweza badilisha n kuhusu mkopo,, ata ka utabadilisha utakufwata huko huko uliko even f utahama chuo kbsa,, chuo kingine utachoenda mkopo wako utakufwata...
  5. perlalupandisha

    Toshiba flash 8GB zinauzwa hapa!!

    Hapana kka mzigo huo bado hujafka ila nadhan next week unakuja
  6. perlalupandisha

    Toshiba flash 8GB zinauzwa hapa!!

    Kwa hapa dar,, tupo maeneo ya mabibo mwisho,, na kunduchi kituo kinaitwa mtongani... Pia kwa kuondoa usumbufu unaweza piga au text namba tajwa hapo juu na utaketewa mpaka ulipo..
  7. perlalupandisha

    Toshiba flash 8GB zinauzwa hapa!!

    Pata toshiba flash 8GB,, kwa Tsh 14000,, ukiwa daresalaam unaletewa mpaka ulipo... Kwa mawasiliano zaid 0762225102
  8. perlalupandisha

    Msaaada

    Hiv kwa hizi alama mpya mtu akipata division 3 ya pount 30 kafaulu or kafel
  9. perlalupandisha

    Msaada..

    Jman jinsi ya kupata visa na paspot kwa ajil ya kwenda nchi za watu na je kukata hvo vitu wanataka hela
  10. perlalupandisha

    Jaman naomba kujua kuhusu TCU

    Daaah,, akhsante sna coz nlikua nshaabza kuchanganyukiwa
  11. perlalupandisha

    Jaman naomba kujua kuhusu TCU

    Hv ukichaguliwa na tcu kusoma kozi flan ktka chuo flan den ukafika ktka hcho chuo na kubadili kozi bila tcu kujua ukija kumaliza unapewa chet chako kama kawaida???
Back
Top Bottom