Recent content by Perfectionism Materialism

  1. P

    MwanaJF mwenzetu QUIMICA amefariki dunia

    RIP mwanaJF mwenzetu. Poleni ndugu,jamaa,marafiki na wanajamii Forom wote.
  2. P

    Toka kuzaliwa sijawai shiriki mapenzi!

    Sitaki ku-conclude kwamba na wewe ni shoga lakini naona unafosi sana neno "shoga" "shoga" "shoga" ktk uwasilishaji wako lakini mm sijalitaja kokote. Kwangu mimi sihukumu mashoga coz with due time hii hali itakuja kuonekana kitu cha kawaida tu kwenye jamii zetu. Am sure baadae hata kelele za...
  3. P

    Toka kuzaliwa sijawai shiriki mapenzi!

    Kusema Wabongo wengi tuna bias huoni na wewe una-conclude negatively? Wengi ni ngapi na kinyume chake ni ngapi? Na hao wengi ni asilimia ngapi na kinyume chake ni ngapi? Mkuu nafikiri tukubaliane kutokubaliana mada iendelee kuwa hivyo tu. Muunge mkono mleta mada lakini na mimi nibaki na maswali...
  4. P

    Toka kuzaliwa sijawai shiriki mapenzi!

    Kuelezea hali fulani ni sawa lakini tusifungwe minyororo ya kuhoji lipi ni lipi,zuri ni lipi na jema ni lipi.. Ikiwa utatushangaa sisi tunaohoji iweje 47yrs fella awe bado bikra,basi na sisi tunakushangaa wewe unayetushangaa. Basi hakuna haja ya kuwa na uwanja wa comments...
  5. P

    Toka kuzaliwa sijawai shiriki mapenzi!

    🤣🤣 hujanielewa mkuu. Nilimaanisha Lengo mama= Lengo kuu
  6. P

    Wanaume, ni kitu gani mnatamani wake zenu wakielewe lakini hawakielewi? Njooni 'tuzogoe'

    Ni maswali ya kawaida kabisa lakini yafaa wanawake zetu wajue kwamba sisi wanaume hatupendi petty questions like:- 1. Uko wapi? 2. Nipike nini? 3. Unarudi saa ngapi? Ni maswali fulani yamekaa kaa kama kujali hivi,kiromantic fulani hivi lakini yanakata stimu kinoma
  7. P

    Toka kuzaliwa sijawai shiriki mapenzi!

    Absolutely am capable of carry that empathy.. Lakini awe tyr ku-expose hali yake ili tumbebe kulingana na uhalisi wa hali yake,sio kujificha ficha. Ukisoma btn the lines ktk thread yake unaona nini hasa lengo lake mama?
  8. P

    Toka kuzaliwa sijawai shiriki mapenzi!

    Miaka 47 bila kudinya (ukiachana na special cases) hapana aiseee
  9. P

    Toka kuzaliwa sijawai shiriki mapenzi!

    Mkuu nakuelewa lakini sio kila jambo yafaa liwe case study ya kujifunza positively. Kwa hili yawezekana nikachora conclusion kabla hata ya research yenyewe. Sio kwamba tunangangamala kukariri mambo ila am sure hata mhusika mwenyewe hana uwezo wa kukujibu vzr hayo maswali yako.
  10. P

    Toka kuzaliwa sijawai shiriki mapenzi!

    Who said about gayism? Mbona unajishuku? Sitaki conclusion yangu iwe hiyohiyo. Ninachomaanisha ni kwamba mtu upo 47yrs lakini bado ni BIKRA WA KIUME. Hii inafikirisha kidogo. Kama haupo kwenye special mission like upadre and alike, hio sio hali ya kawaida. Yes kufanya mapenzi na wake za watu...
  11. P

    Kwanini ulizaa, unazaa au una mpango wa kuzaa watoto?

    Kwangu mm ni kwa sababu ya generation continuity. Na kingine ni ile utamaduni/ mazoea ya kijamii tu kwamba lazima kila mtu azae. Kwa mtu ambae uko vzr kiafya,usipozaa kwenye jamii zetu kuna namna wanakujudge negatively. Hii imepelekea watoto wanaozaliwa kinasibu tu bila mipango
  12. P

    Toka kuzaliwa sijawai shiriki mapenzi!

    Sasa si bora upigwe miti wewe
  13. P

    Ma-CEO wakibongo kwanini makampuni yetu huwa yapo legelege sana ukilinganisha na yale ambayo yapo chini ya wageni? TUBADILIKE

    Hoja ilikuwa nzuri sana ila nahofu ulipoingiza tu issue za kisiasa itapata mwelekeo mpya ambao utakuwa mbaya nje ya mada lengwa
  14. P

    Sio kwa ubaya ila tunaombeni Tanga iwe sehemu ya Zanzibar, Tunachelewa sana kufika chini ya Serikali ya Muungano wa Tanzania.

    1. Kigoma iwe sehemu ya Burundi coz Bujumbura ni karibu kuliko Dodoma na lugha za Waha na Warundi zinafanana. 2. Wahaya waende Uganda coz Wahaya wanafana misambwanda inafanana na Wanyankole 3. Wamakonde wajimege kwenda hukooo Mozambique. 4. Masai sukumia Kenya 5. Jaluo, Kilimanjaro mtn megea...
  15. P

    Nachukia sana ninapoona maskini anazaa watoto wengi. Ndugu, jamaa na marafiki maskini wanapoongeza watoto wengi, wananikera sana

    Hili suala kwa Waafrika wengi ni changamoto. Nina 3 kids. Naona nimekamilisha kabisaa but sioni nikitoboa with this Afro centric view from my family coz pressure za kifamilia toka kwa faza,dada,kaka ni kubwa. Hadi wife nae naona kama anaelekea kuwasupport kiaina. NASHAURI elimu ya FAMILY...
Back
Top Bottom