Recent content by Perfecta

  1. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata wadudu wanaobungua choroko au kunde kwa ajili ya tafiti za kilimo

    Habari zenu wana jamvi. Mimi ni mtafiti katika chuo cha kilimo. Ninaomba msaada kwa suala lifuatalo; Kwa mkulima yeyote wa zao la choroko au kunde ambazo zimebunguliwa (kutobolewa) zikiwa pamoja na wadudu maarufu kama bungua (wawe wengi kidogo) kama wanavyo onekana kwenye picha chini. Wadudu...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Iphone 6 inaweza sapoti ios 13

    Haiwezekani boss mwisho ni 12.5 kwa 6 plain
Back
Top Bottom