Recent content by PERETE

  1. P

    JamiiForums Tanzania Polisi Kagera wamzuia James Mbatia kutembelea maeneo yaliyoathirika na kugawa misaada

    Na kwanini nyie msifuate utaratibu,mkajiamulie tu wakati serikali ipo
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe kuahirisha maandamano ya ukuta Septemba Mosi

    Hawa walikuwa wanatikisa kibiriti
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ni Kipi cha Heshima na Manufaa Wanachokipigania kwa Nchi yetu hadi Tuwaite Mashujaa?

    Wao kusema siasa basi sio kwamba wanavunja katiba wako sahihi,mkae mjitafakari na kusubiri ratiba nyingine ya tume ya uchaguzi
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ni Kipi cha Heshima na Manufaa Wanachokipigania kwa Nchi yetu hadi Tuwaite Mashujaa?

    Wala hajajaa unafiki amezungumza ukweli,stahili hii ya kujibu ndio siasa zenu,badilikeni
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mrisho Gambo Katika Kashfa ya rushwa ya shilingi Milioni 20

    Chadomo ndio hakuna mafisi,we huwazi kwa akili zako umeshikishwa tu,tena wewe ndo mwizi namba moja
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mrisho Gambo Katika Kashfa ya rushwa ya shilingi Milioni 20

    Hakuna ukweli hapo hadithi za kutunga tu,poleni penye ukweli mkubali
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mrisho Gambo Katika Kashfa ya rushwa ya shilingi Milioni 20

    Umeshasema mwanzoni mwa mwaka huu sasa gambo anaingiaje,wakati mchakato wa upangaji ulifanyika mwaka jana mwezi wa saba,acheni hadithi za kutunga
  8. P

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Jiji la Arusha Chini ya CHADEMA Yafanya Kweli

    Hakuna jipya hapo,mnajifariji tu,kuna mipango iliyoachwa ambayo inatekelezwa sasa na pia source ya pesa ni road fund[emoji15] [emoji15] [emoji15]
  9. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atembelea msikiti na makanisa Chato, anukuu 'asiyefanya kazi na asile'

    Unaweza kusoma ukawa mjinga kabisa,sikushangai kwa sababu akili si zako,kama watanzania tunaowategemea walisaidie taifa huko tuendako ndo wenyeakili kama zako,basi tunamatatizo,eti tindi lissu amfunika Rais,Khaa,ulitaka Rais asisali hafanyi kazi kwa matukio kama nyie
  10. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atembelea msikiti na makanisa Chato, anukuu 'asiyefanya kazi na asile'

    Kwani yeye anajenga viwanda,kazi ya serikali ni kuandaa mazingira wezeshi then sekta binafsi inafanya kazi yake
  11. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atembelea msikiti na makanisa Chato, anukuu 'asiyefanya kazi na asile'

    Nimeona nisikujibu maana nunaongozwa na mihemko kuliko akili zako za kawaida
  12. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atembelea msikiti na makanisa Chato, anukuu 'asiyefanya kazi na asile'

    Tafakari na uulize vizuri usituletee mihemko ya mfarakano
  13. P

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania hairuhusu mtu yeyote kutukanwa

    Hakuwaita watanzania malofa tatizo lenu mnakaririshwa,tafuta hotuba yake uisikilize vizuri
  14. P

    JamiiForums Tanzania UKAWA wakubaliana kuwanyima mafuta wakuu wa Wilaya

    Wanazunguma tu ilani inayotekelezwa ni ya ccm,na serikali iliyopo madarakani ni ya ccm ni lazima wakubali kufanya kazi na serikali ya ccm ili program za maendeleo zilizopangwa zitekelezeke na wananchi wapate maendeleo
  15. P

    JamiiForums Tanzania Gari 9 Zatumika Msafara Wa Dr Slaa: Haya ni Matumizi Sahihi ya Ruzuku?

    naona mnajichanganya tu,hata ccm wanaojitolea wapo,so sioni tatizo,hoja ni ulinganifu wa matumizi ya magari kwa viongozi na matamshi yao
Back
Top Bottom