Recent content by Pereche

  1. Pereche

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa Kiafrika hawajui kupenda

    Sawa Mtoa mada umeongea vizuri kuhusu wanawake wa kiafrica, Vipi kuhusu wanawake wengine wa kizungu ambao let say kaolewa na mtu maarufu ana pesa net worth yake ni kubwa anavunja ndoa ili apate mali yaan nusu ya utajiri wa mwanaume na yeye katokea kwenye umaskini? Mimi naona issue kubwa ni...
  2. Pereche

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Msumi ipo wilaya ya ubungo kata ya mbezi ina postcode 16112 kwa hiyo ni Dar es salaam na sio pwani
Back
Top Bottom