Nimewahi kuweka tangazo humu miaka minne iliyopitaa la kutafuta mke ila kabla ya kufanya maamuzi nilipata mtu ambae tulikuwa na mahusiano zamani kidogo.
Malengo yalikua ndoa Ila tabia zake zilinishinda, busara na heshima vilikua vidogo sana kwake.
Nikapata mwingine tukadate kama mwaka hivi ila...
Visa ilikuwa ya masomo kipindi hicho, nikafanya mishe huko nikafanikiwa kubali.
Nikirudi kuajiriwa kutokana na kuhitajika na nilipewa mchongo na Mtu, hivyo CV yangu ikakubalika nikapigiwa simu nikaenda kuongea nao tukaanza kazi. Baadae nilipoona nimechoka ndio nikaacha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.