Kwa hiyo alivyoongea na kushauri ametukana?
Na kupotezwa ndio kuwekwa ndani?
Utaratibu wa kisheria, anayevunja sheria akamatwe, ashitakiwe na kuhukumiwa. Tuipende kwa dhati nchi yetu
Hiyo ni shida ya wachache. Kwa sisi sisiemu wala haitupi shida. Cha msingi karatasi za kura zijazwe. Kwa hiyo mkigoma, nikienda kituoni nawapigia kama 20 hivi, walionyumbani. Mwisho ni kwamba kura milioni 15+ zitapigwa tu.
Atoe ushahidi kwa nani?
Kwa ma judge ambao Rostam alisema wanafanya kazi kwa simu za wakubwa?
Wachunguzi wa kimataifa waje na Kabendera atatoa ushahidi wake huko
Kama FAM ni mtu wao means hawezi kuachia foreigners wachukue usukani maana watahatarisha maslahi ya system ambayo ni ya blue ya taifa imekuwa so diluted na kuwa kijani.
Ninacho tamani ni chadema kivunjike ili kambale ajitenge na perege.
Siku Lissu, Heche na Lema wakitangaza chama mbadala...
Resolution moja muhimu sana iwe kuhusu uchaguzi wa chama ngazi ya taifa.
Ni muhimu sana kutoka kwenye uchaguzi wakiwa kitu kimoja.
Kwa mazingira ya sasa, siwaelekezi lakini ikiwapendeza Lema, Hehe na Lissu wapewe nafasi za juu zaidi.
Wakatoliki tuna amini kuwa kuna makundi yetu matatu.
Kundi la kwanza ni la walio hai kimwili. Hawa ndio sisi tuonatype humu. Hili kundi linahubiri na kuhubiriwa. Wanaomba na kuombea kwa Mungu.
Kundi la pili na la tatu ni la wafu wa kimwili. Hawa waliishi ila wameshakufa. Hawa wapo makurdi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.