Recent content by PEPSI BIG

  1. PEPSI BIG

    Fursa kwa wadada huu wakati wa kampeni

    Habari zenu akina members wote humu nimeona nitumie kiiengereza siunajua kinapanda sana lazima ukichanganye kidogo Tunaelekea uchaguzi mkuu na unajua wale watu wa mjengoni vile hua wanakua majimboni ni kuhakikisha hachomoki mtu na pesa ya ruzuku na zile za chama,[emoji23] Mazuzu yetu lazima...
  2. PEPSI BIG

    Taarifa kwa wanaume wapita rough road

    Imekua nikawaida kwa wanaume humu kujisifu atumia mtaro tena nakujisifu kabisa sidhani kama niungwana Taarifa nyeti kama hizi unazianika hadharani yanini janaume zima na suruali yako ndefu kama buti za Charlie champrin Ndio maana hua wanawake wanaamua kuwachunia kwa post zenu zisizokua na...
  3. PEPSI BIG

    Kiumbe gani waajabu zaidi duniani

    [emoji23][emoji23] nae si mwanaume au unadhani babaangu wakike wee vipi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. PEPSI BIG

    Kiumbe gani waajabu zaidi duniani

    Umekiona nilichokitaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kimekugusa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. PEPSI BIG

    Kiumbe gani waajabu zaidi duniani

    Kimemgusa huyo mpaka kaweweseka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. PEPSI BIG

    Kiumbe gani waajabu zaidi duniani

    Mood naomba marekebisho kichwa cha habari Sent using Jamii Forums mobile app
  7. PEPSI BIG

    Kiumbe gani waajabu zaidi duniani

    Wapendwa poleni na mihangaiko ya corona!! Mimi kwangu kiumbe waajabu zaidi ni mwanaume Anatafuta pesa kwanguvu zote afu tukiwaomba wanaanza kujishika shika nakunyiuma uma mwisho wa siku wanazitoa zote kesho yanaanza kulia kama mbuzi, Mama yake mzazi anaweza kutotumiwa pesa hata miezi mitatu...
  8. PEPSI BIG

    Tabia mbaya na za kizamani za wanaume wa JF

    Jaman wazima humu Hakuna sehemu wanaume wanajifanya wajuaji wakila aina ya kitu kama humu ndani Ujuaji,majivuno yaani wanaume wa humu hakuna kitu kabisa kila aina ya kitu wanaijua wanawake wenye makalio wenyewe,weusi wenyewe,sijui nini wasichokijua Kuwasema wanawake wenyewe,kujifanya...
  9. PEPSI BIG

    Wanaume wa JF rahisi sana kuchunwa

    [emoji23][emoji23]hawamalizi hawa hua zinabaki kwa wake zao tunazimalizia wenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  10. PEPSI BIG

    Wanaume wa JF rahisi sana kuchunwa

    [emoji23][emoji23]hapana babu yangu ngoja kaendelee kua kasiri haka Sent using Jamii Forums mobile app
  11. PEPSI BIG

    Wanaume wa JF rahisi sana kuchunwa

    [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. PEPSI BIG

    Wanaume wa JF rahisi sana kuchunwa

    [emoji23][emoji23]hakuna ubahili hapo labda kwa wajukuu zake kama Joanah Sent using Jamii Forums mobile app
  13. PEPSI BIG

    Wanaume wa JF rahisi sana kuchunwa

    [emoji23][emoji23]siku hizi zimepungua Sent using Jamii Forums mobile app
  14. PEPSI BIG

    Wanaume wa JF rahisi sana kuchunwa

    Hakuna wanaume watoaji mapesa na wapenda sifa kama wanazo kama wa humu JF. Ukilia kidogo tu mapesa ntawataja kwa majina hapa tukianza na babu yetu mzee mwenye utoaji wa hali ya juu Asprin na mzee mshana jr Ukilia tu imethibitishwa ila tahadhari ndoa za watu humu wengine wanandoa Sent using...
Back
Top Bottom