Unaweza kujiuliza ukakosa majibu ww kichwani zimo kweli hata kama ni tofauti za kiitikadi huwezi kutoa maneno kama haya hujafa hujaumbika ndugu yangu tena heri yy kwenye ukilema wa mguu lkn kichwani zinacharge kuliko wewe mwenye miguu ila kichwani nadhani Hanna kitu
Hembu maneno haya yaweke kinyume chake hayawezi pia kuleta maana nyingine kuwa wapiga kura ndo wenye maamuzi na hizi kelele za ICC tusizipuuze maana Mara nyingi mtu anaweza kusema mkamuuza kuna siku atatenda kweli kama wapiga kura watakuwa wameamua
Mm nafurahishwa sana na haka kamsemo kuwa tarehe 28 tuna jambo letu sababu kuu ya kukafurahia hujui unaelekezewa wapi unashangaa tu ng,ombe hana shingo yaani atakavyolala ndivyo atakavyochinjwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.