Recent content by peno hasegawa

  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa kwanini watu walipie Tsh 2800 kupiga kura kwenye Miss Grand International?

    Uliza CCM wana majibu! Maji ya kunywa ya bomba yamepandishwa bei nchi nzima! Hamjashtuka
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Samia hajaonekana kwenye ufunguzi wa mkutano wa 153 wa IPU jijini Arusha

    Wanawake wote wa ile dini wakifiwa wanaacha kaxi za serikali wanakwenda Eda?
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Samia hajaonekana kwenye ufunguzi wa mkutano wa 153 wa IPU jijini Arusha

    Alikuwa hajaandaliwa cha kwenda kusoma!
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania HOJA Askari Wastaafu tulipwe stahiki zinazoendana na uhalisia, kiasi tunachopewa ni kidogo sana

    Ni wala rushwa, tesekeni kabisa hadi mfe wote. Mliuwa ndugu zetu wasio na hatia October 29.
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania HOJA Askari Wastaafu tulipwe stahiki zinazoendana na uhalisia, kiasi tunachopewa ni kidogo sana

    Askari wastaafu,Kumbukeni, mnacholipwa ni size yenu,tena mmezidishiwa sana,nyie ni MALI YA CCM
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania 41. Ramani brother Kweka kuchomoka huu msala, mnamkumbuka mmiliki wa mabasi ya j4 yupo uraiani mbona

    Kibatala anajua namna ya kumalizana na Majaj... kwenye hizo kesi za mauji na kurudisha walio ua wengine uraiani
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wawili washikiliwa tuhuma mauaji kiongozi wa CCM, Polisi yamsaka kinara wa ‘TFF'

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/wawili-mbaroni-tuhuma-za-mauaji-chunya-5620442 Watu wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za kumuua Sira John (20), baada ya kumvamia na kumchoma kwa kitu chenye ncha kali maeneo mbalimbali ya mwili wake katika Kitongoji...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania HOJA Kanisa Katoliki lifanye uchunguzi wa Kwaya ya Kanisa la Sinza, kuna ‘upigaji’ na ukiukwaji wa maadili

    Femata nao wakula Tsh 85 milion, fedha za wachimbaji wadogo! Kila kona wixi mtupu
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Usaliti ni laana, Henry Kilewo aachana na siasa

  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania KERO Inakuwaje gharama ya kutengeneza 'kidude' cha kuwekea umeme wa LUKU ni bei kubwa hivi?

    Ni mradi wa fisadi mmoja ndani ya Tanesco
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania KERO Inakuwaje gharama ya kutengeneza 'kidude' cha kuwekea umeme wa LUKU ni bei kubwa hivi?

    Tanesco jibuni maswali ya wananchi! Remote ni Tsh 150,000?????
Back
Top Bottom