Recent content by PENDING'ULA

  1. PENDING'ULA

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Natamani kujua chanzo cha habari hii! lakini hata hivyo kaulimbiu pamoja na kukubaliwa na chama kwamba itumike, kwa kawaida ni pendekezo la mgombea! Utakumbuka katika kipindi kile cha watangaza nia lukuki, tulikuwa na kauli mbiu lukuki! Kuhusu ilani ya uchaguzi, ikiwa ni kweli itabadilishwa na...
  2. PENDING'ULA

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Nimejizuia kwa mengi, lakini kwa hili bora niseme nipate amani moyoni! Kwa hatua hii Prof. hukututendea haki! Tutakulaumu hadi dakika ya mwisho, na nakusihi jiandae kupokea tuhuma za "kutumika" kwa manufaaa ya kundi fulani! Kwa msomi kama wewe, ulipaswa kupima hayo kabla! Umetuingiza mkenge...
  3. PENDING'ULA

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Natamani kupata ufafanuzi kuhusiana na suala la pesa linalozungumzwa hapo juu, ni kwamba wamedakishwa mshiko kuusaliti UKAWA au kitu gani? kwa hujuma sampili hii tutarajie kesho asubuhi, EL akiongea na waandishi wa habari kwamba ameamua kurudi CCM!
  4. PENDING'ULA

    Ukweli kuhusu Dr. Slaa

    Kila mnavyojifanya mnatoa ufafanuzi, mnazidi kumuinua EL. Namshangaa mwanasheria, anajua rushwa imetolewa na kupokelewa kwa viwango alivyovitaja, badala ya kwenda TAKUKURU anakuja humu na blabla nyiiing!! Nani atakuamini? Tungoje ukweli utajitetea wenyewe!
  5. PENDING'ULA

    Pigo jingine kwa Team Lowassa: Christopher Ole Sendeka akana kuhama CCM

    Turufu yake ni ya chini sana ambayo unaweza kuipiku kirahisi! Tunatishika na "madume" na "mizungu"!
  6. PENDING'ULA

    Kauli ya Mwapachu Kuhusu Lowassa

    Wavivu wa kufikiri kama wewe wakiwa vijana, utu uzima ukiwafika hugeuka wachawi! Kama ndugu yangu uko kwenye utu uzima, kaa chonjo, usinga'e Shinyanga! kuna watu wanawashambulia watuhumiwa!
  7. PENDING'ULA

    Lowassa aendelea kuwaburuza UKAWA. Amkataa Juma Duni Haji (Mgombea Mwenza), amtaka Ismail Jussa

    Wewe usiweke kambi popote ili kudukua habari za kiofisi, wewe tinga mtaani kuhamasisha watu kile unachokiamini,Wahamasishe wakuelewe, kisha tukutane kwenye sanduku la kura! Kumbuka usemi wa kiswahili, UDUGU WA NAZI HUKUTANIA CHUNGUNI!! Huu ni wakati wa kutenga ushabiki na harakati za ukombozi!!
  8. PENDING'ULA

    Lowassa aendelea kuwaburuza UKAWA. Amkataa Juma Duni Haji (Mgombea Mwenza), amtaka Ismail Jussa

    Ingawa sijauona mkataba wa makubaliano yaliounda UKAWA, lAKINI NAJUA UKAWA ni makubaliano ya vyama, na wala si muungano wa vyama vinavyounda UKAWA. kwa maana hio kila mwanachama ndani ya UKAWA ana hakisawa na mwenzake,na wala haina maana kwakuwa CHADEMA kinatarajia kuinua mgombea uraisi...
  9. PENDING'ULA

    Pigo jingine kwa Team Lowassa: Christopher Ole Sendeka akana kuhama CCM

    Kwa maoni yako unaona mchango wake Ole Sendeka katika UKAWA ungekuwa nini? Namwona ni mwanasiasa wa kawaida mbishi kama wanasiasa wengine tu! so!
  10. PENDING'ULA

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Tusaidie plz kupunguza malumbano! Ninyi pengine mko Dar, wengine tuko mbali hatuwezi kusikia za mitaani huko dar!
  11. PENDING'ULA

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Chanzo cha habari hii ni 'gani'? Tunasikia zikisemwa na zikikanushwa! Mnaothibitisha tupeni evidence plz!!
  12. PENDING'ULA

    Mtikila kumshitaki Lowassa kwa kukwepa kodi

    Hivi kile chama chake kiko hai au alikiua?
  13. PENDING'ULA

    Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

    Lugha nzuri katika taarifa yako, lakini kwa kifupi ni kama unapinga CDM kumtumia EL mstari wa mbele katika mapambano ya kuiondoa CCM! Inawezekana uko sawa, lakini, nadhani unajua kila Mtanzania anahamu ya kujua kulitokea nini kule Richmond na kwenye madili makubwa ambayo sisi wagaagaa tunaamini...
  14. PENDING'ULA

    Nadhani hiki ndicho kilichoogopwa kusemwa na CCM leo peacock hotel

    Uncle bean, umenikumbusha ile methali ya kiswahili,inayosema, "KUCHAMBA KWINGI......." Naona wanakaribia kuondoka nayo!
  15. PENDING'ULA

    Nadhani hiki ndicho kilichoogopwa kusemwa na CCM leo peacock hotel

    Mbona hata hamkusema hayo mapema, wakati makada wakongwe katika Chama lenu walilalamikia mchakato kukiuka taratibu? Tulishuhudia hata wanasiasa makinda wakiwabeza wazee wa fitna katika chama! Hao ndo wajuvi wa fitna zenye majina mengi mazuri ya kuhalalisha maamuzi yao, leo wanajitokeza...
Back
Top Bottom