Recent content by PendaTz

  1. PendaTz

    Paul Makonda alikuwa wapi Mei Mosi kwa mkoa wa Dar?

    Ni jana tu nilikuwa naangalia taarifa ya habari na sehemu kubwa ya habari zilikuwa kuhusiana na Siku kuu ya wafanyakazi ulimwenguni kote. Na kwa bahati nilangalia Itv na Startv. Walijitahidi kuoneaha kila mkoa ambapo kulifanhika sherehe za maadhimisho hayo, na kila mkoa, palikuwa na mgeni rasmi...
  2. PendaTz

    Kwanini uchumi wa nchi haukui?

    Kobello unamaanidha nn kusema inabidi miaka mingi ipite??
  3. PendaTz

    Kwanini uchumi wa nchi haukui?

    Nimejiuliza sana kwa nini uchumi haukui, nimegundua hakuna anayepanga na kuweka mikakati bora ili kuikuza, kwa taarifa ya waziri wa fedha aliyoisoma ina mambo mengi ambayo ni nadharia tu. PendaTz
Back
Top Bottom