Recent content by Pelem

  1. P

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu wa Sekondari katika Wilaya ya Karagwe, mkoa wa Kagera. Nahitaji mwalimu wa kubadilishana naye toka Mikoa ya Iringa, Mbeya, Morogoro, Pwani, Dodoma au Singida. Kwa aliye katika Mikoa hiyo na Yupo tayari kuhamia Karagwe aniPM au anipigie kwa namba 0757644877.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hi!

    Hodi hodi wanajamvi!
Back
Top Bottom