Kwel mkuu, hajui watu tulivyo na maumivu, wazazi wetu wanetusomesha kwa shida, mimi ni tegemeo pekee kwa wadogo zangu na wazazi, afu unakuta mtu anaongea hapa vitu vya ajabu. Hii nchi inanijenge roho ya kikatili sana!
People are too theoretical ,wanachukulia vitu poa sana. Kama ingekuw hivyo kwamba unatupia 200k shambani then maisha waaaah, hakuna ambae angekuw na shida ya kuajiriwa na mtu.
Kutoka kwa mdau,
Mimi ni kijana kutoka Kigoma, jana nimefanya written interview ya Tax Officer TRA inayosimamiwa na utumishi.
Baada ya kufanya paper tukaanza kusikia kuwa paper ilivuja, leo kuna mdau kanitumia hiyo paper.
Hii ni evidence tosha kuwa paper ilivuja maana mnapofanya huo mtihani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.