tatizo sio ccm, njoo uku dodoma ujionee magari ya wajumbe na wabunge wa bunge la katiba yanapaki kwenye hostel za wanawake wa vyuo vikuu vya hapa yani ni uhuni tu, unategemea watatoa hoja gani? wanawaharibia watoto wa maskini maisha. wenzetu ulaya kiongozi akiwa mhuni anafukuzwa, mnakumbuka...
amesema,"viongozi wa africa wanajivika ujasiri wasiouweza" hapa ina maana anashabikia ushoga na hakubaliani na Museveni kusaini, ameiaibisha Tanzania na taaluma yake na chuo chake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.