Recent content by Pedderef sober house

  1. Pedderef sober house

    Zijue faida za kunywa pombe

    Wadau pombe kwa wanaoweza kinywa kwa vipimo sawa, ila sisi ambao hatuna nguvu nayo, namaanisha mzinga lazina uishe, hatutakiwi kunywa kabisaa, nilijaribu kunywa kwa kiwango nikashindwa hadi nikafikia siwezi kufanya chochote bila pombe, nikiamka tu kwanza pombe, namshukuru mingu sasa nipo na...
  2. Pedderef sober house

    Share experiences kama umeshawahi kuuza au kununua Papuchi

    Yah nikawaida kwa sisi wasafiri maana kukaa mwaka bila papuchi noma
  3. Pedderef sober house

    Pedderef sober house

    Huduma ya kuachisha utumiaji madawa ya kulevya Tuna uzoefu wa kuwasaidia waathirika wa madawa ya kulevya, kituo chetu kimeanzishwa mwaka 2013 mpaka sasa tumesha wasaidia watu 468, kati yao 421 wanaendelea vizuri na 37 wamerdia 10 hatuna mawasiliano nao, kama una ndugu jamaa au rafiki mwenye...
Back
Top Bottom