Recent content by Peculiarity

  1. Peculiarity

    JamiiForums Tanzania Vijana wa leo, kama umefikisha miaka 30 na huna kazi ya maana fanya hivi

    Kiongozi sio lazima uwe na fremu kupata hizo legal documents. Kwa wale wapenzi wa simulizi za analyse watakuwa wanakumbuka ushauri aliopewa na yule "Mzee" wa kufungua kampuni hata kama hana fremu. Tuchukulie mfano kwa vijana ambao ni mawinga wa bidhaa tofauti tofauti, unasajili jina la biashara...
  2. Peculiarity

    JamiiForums Tanzania Vijana wa leo, kama umefikisha miaka 30 na huna kazi ya maana fanya hivi

    Namuunga mkono mtoa mada, alichowasilisha ni kitu muhimu sana. Japokuwa naweza kutofautiana nae katika baadhi ya vipengele. Kiujumla hizo legal documents nyingi hazina gharama kubwa kuzipata, na kuwa nazo kunakutengenezea fursa kubwa kwa wawekezaji/washirika kama una wazo zuri la biashara...
  3. Peculiarity

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa hivi sasa yakoje?

    Japokuwa sipo katika miaka uliyotaja, lakini yawezekana ukapata mawili matatu. Mimi nimeoa 2016, kabla ya kuoa nilishatathmini mapungufu ya mwenzangu kuona kwamba nitaweza kuyavumilia na kusaidiana kuwekana sawa (hakuna mwanamke wala mwanaume mkamilifu). Kuna tabia zinaweza kukukwaza na zingine...
  4. Peculiarity

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaishi vipi na Mwanamke anayekupangia siku za kupiga shoo?

    Kiongozi mzabzab mambo ni mengi, kuna kipindi nafasi ya kutosha inakuwepo inapigwa derby ya kariakoo karibu kila siku, kuna muda majukumu yako au yake au nyote Kwa pamoja yanawazidi mnaahirisha pambano. Kuna ulezi wa watoto, baba kubanwa na kazi baadhi ya nyakati, ugonjwa na mengine mengi...
  5. Peculiarity

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemnunulia mama yangu mzazi zawadi ya nguo Mke atokwa na maneno makali ya dharau

    Kiongozi mke inabidi ajue nafasi yake, yaani kitendo tu cha kumuwazia mabaya mzazi wako ni kosa la jinai, achilia mbali kutamka tena mbele yako. Jitahidi kutumia busara, hekima na nafasi yako kama mwanaume kumuweka sawa wife. Maana kwa mazingira hayo hata ikitokea siku mama amekutembelea kwako...
  6. Peculiarity

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama una miaka 30, tayari umetumia nusu yako nyepesi na sasa upo kwenye nusu nyingine isiyohitaji mizaha

    Umepiga kwenye mshono ngosha
  7. Peculiarity

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu ambaye mli-have a great time akaacha kukutafuta ghafla?

    Sababu ni nyingi kulingana na wahusika lakini mara nyingi ni kuwa na malengo ya muda mfupi (kashatimiza haja yake). Na mwingine ni wale ambao hawataki mazoea sijui text, kupigiana simu, siku akikuhitaji utamuona tena na uchangamfu wote hasa ikiwa anakupa hela kila mnapokutana.
Back
Top Bottom