Recent content by Peace Legends

  1. Peace Legends

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

    Makombora ya israel yaliyotumika ni air lunched balistic missile ( kama kinzal za urusi range ni kubwa kuliko glide bomb)
  2. Peace Legends

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

    Ndege ziliishia syria hata iraq hazijafika( iraq ipo karibu na iran)
  3. Peace Legends

    JamiiForums Tanzania Shambulio la Israel Kwa Iran Limethibitisha Ubora Wa Jeshi la Anga la Israel

    Hizo ndege ni inferrior kwenye nchi yenye layered air defence imara kama iran ndio maanza zili keep distance mbali na mpaka wa irani zingeingia zingepigwa. Hizo ndege ni gharama kufanyia shambulio moja kuliko makombora, gharama hapo inaweza kuwa hata 20x ya shambulio la iran.
  4. Peace Legends

    JamiiForums Tanzania Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

    Iran wewe isikie unavyo isikia ni hatari sana. Kwanza geographia yake ni nzuri sana wanaweza kukotrol ule mkondo wa bahari unaopitisha mafuta ya pale uarabuni na meli yoyote isipite hapo lazima uchumi wa marekani na washirika wake uanguke, pia ana air defence nzuri amewahi take control ya drone...
  5. Peace Legends

    JamiiForums Tanzania Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

    Hio picha hapo ni ya mwaka 2021 kwenye kiwanda cha mafuta Iran. Alafu cnn wanaongoza kwa ku fabricate information sio chanzo sahihi cha kuchukua habari na kuziamini. Video na picha za matukio ya mashambulizi ya leo yapo kwenye vyanzo ambavyo havina fake news. Wave ya kwanza ya mashambulizi ya...
  6. Peace Legends

    JamiiForums Tanzania Rasmi Putin aonesha sample za noti mpya za BRICS. Je, huu ndio mwisho wa US Dollar?

    Sio kweli sarafu ya BRICS countries ni note bali iliyokua proposed ni digital currecy ambayo 1=1 na chinese yuan. Afu hio picha ya putin kashika note ni edit. Hiyo note ilikua proposed na professor wa kirusi. Lakini BRICS countries wakasema wanakwenda digital(hata nchi za kiarabu ziko kwenye...
  7. Peace Legends

    JamiiForums Tanzania Msaada naomba makadirio ya malipo App yenye download 10k

    Hizo download haziakisi kiasi utakacholipwa bali ni active installs na idadi ya muda watu wanaspendi kwenye app yako, je wanaona ads ngapi? Quality ya ads mfano banner RPM yake ni ndogo kuliko interstitial, open app na native. Pia ads frequency inaathiri revenue, mfanya ukiset ads frequency...
  8. Peace Legends

    JamiiForums Tanzania Huawei wamezindua simu ya kwanza kujikunja mara mbili. Base model ni Tsh Mil 7.8

    Ndani ina harmonyos 4.2, natamani kuiona ikiwa na harmonyos next
Back
Top Bottom