Recent content by pcbzo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuburn bootable Win7

    Thanks, nitatafuta dvd ambayo ni bootable
  2. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuburn bootable Win7

    Msaada wadau, Nina cd ya windows7 ambayo sio bootable, nimekwama jinsi ya kuburn hizo files kuwa bootable win7. Nimejaribu kutengeneza iso file kwa ajili ya kuburn bila mafanikio. Natumia UltraISO. Thanks.
  3. P

    JamiiForums Tanzania save youtube video to your computer

    Thanks man, it works in any windows, mie nimetumia windows 7.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ephraim Kibonde Jahazi Show

    Wadau, huyo sio Kibonde. Ni doctor fulani hivi (bahati mbaya nimemsahau jina) alialikwa kwenye kipindi cha jahazi baada ya clouds kuitwa super brand. Alikuwa akifanya kazi na clouds kipindi cha nyuma.
Back
Top Bottom