Recent content by PCB 2005

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kutamani Pombe muda wa kazi

    Pombe tamu asikwambie Mtu Cha kufanya we piga tungi la kutosha halafu tafuta ndizi mbivu kula hakuna atakaye kushtukia kazini, kula mma. ONYO: Kunywa Kistaharabu shauri zako.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hiki kibaiskeli kinapatikana wapi?

    Wadau naomba kujua hiki kibaiskeli au kipikipiki au kimwendo kasi hata sijui kinaitwaje ila nadhan kinafahamika machoni mwetu si kigeni kiviile. Naomba kujua kwa hapa bongo kinauzwa wapi na bei yake ikoje either kiwe used au kipya
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wenye mahitaji ya Website

    Vp kui hosting ? gharamazake inakuaje
  4. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba naomba sikia kilio changu

    Nawasalimu kwa jina la Muungano wa Tanzania Kuna kaka yangu anaishi Mlandege Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani, amelipia gharama za kuunganishiwa huduma ya umeme pamoja na nguzo yake, lakini cha ajabu tangia alipie sasa inafika mwaka na miezi kadhaa bado hajapatiwa huduma hiyo. Huwa...
Back
Top Bottom