Recent content by payless marketplace

  1. P

    JamiiForums Tanzania Unapambana Biashara Ikue Lakini Gharama ya mkaa ina kula faida

    Unapambana Biashara Ikue, Lakini Gharama ya Mkaa Inashusha Faida... Una Mpango Gani? Fikiria hivi kwa Kg 5 za Mkaa Utaweza Kupika Chakula Cha Kilo 30 kwa Wakati Mmoja ? Hii Inawezekana Kama Ukitumia Jiko Bomba La kg 30 ... Hili Ni Jiko Kubwa La Kupikia Chakula Mpaka 30kg Kwa Wakati Mmoja...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Je, Ulikuwa Unatafuta Jiko Kwa Mahitaji Makubwa Ya Kupika

    Nani Mwingine Anahitaji Jiko la Kisasa kwa Mahitaji Makubwa ya Kupika?" Je ulikuwa unatafuta jiko kwa mahitaji makubwa ya kupika? Kampuni ya jiko bomba sasa wamekuja na suluhu la majiko ya kupikia, Katika taasisi mbalimbali zenye kuhudumia watu wengi Hili Ni Jiko Kubwa La Kupikia Chakula...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Njia 5 Za Kuvutia Pesa Kwenye Maisha Yako

    Nani kasema tuna amani 😂
  4. P

    JamiiForums Tanzania Njia 5 Za Kuvutia Pesa Kwenye Maisha Yako

    Half American
  5. P

    JamiiForums Tanzania Njia 5 Za Kuvutia Pesa Kwenye Maisha Yako

    Njia 5 Za Kuvutia Pesa Kwenye Maisha Yako. Pesa ni kitu chenye thamani kubwa kwenye maisha ya sasa. Bila ya pesa kwa maisha ya sasa ni majanga mazito sana. Unaweza ukakosa vitu vyote vizuri. Hata watoto wazuri utabaki kuwaita shemeji tu. Hotel kubwa utabaki kuziangalia kwa nje tu...
  6. P

    JamiiForums Tanzania *HATA AKISEMA ANALIPA KODI YEYE, USILALE KWENYE GHETO LAKE......*

    HATA AKISEMA ANALIPA KODI YEYE, USILALE KWENYE GHETO LAKE...... Hakuna mwanaume ambae hajui hii kanuni, Ila kukumbushana sio dhambi .... Nakumbuka kuna manzi nilikuwa na mfukuzia tokea tuko darasa la 4, Mpaka tuna maliza la 7 bado manzi alinikazia ... Kama bahati tukapangiwa shule...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Sio siri tena! Tumia mbinu hizi tatu kuua ushindani unaokabili biashara yako

    Kuna njia kuu tatu tu za kuua ushindani kwenye biashara yako Moja kuwa bidhaa ya bei nafuu kuliko zote sokoni .... Mpaka sasa sijui ni mbinu gani bora ya kupambana na bei sokoni Mtu akikushinda kwenye bei ni majanga ... Pili, Ni kuwa na uwezo wa kufikisha bidhaa au huduma kwa wateja ndani ya...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako

    Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako. Wizi ni miongoni mwa vitu vyenye kurudisha sana nyuma Biashara zetu. Kuweza kudhibiti wizi kwenye Biashara sio kazi nyepesi kabisa. Lakini unatakiwa kupambana sana mpaka ukae sawa kwenye Biashara yako. La sivyo wewe utateseka kisha wafanyakazi wako...
Back
Top Bottom