Kwa mtazamo wangu, Robert Mugabe siyo dictator ila mataifa makubwa wanajaribu kujenga hoja kwenye ndimi zetu ili wamng'oe madarakani na haya yote ni kwa kuwa hana msaada kwao.
Amekua akipinga unyonyaji wa rasili mali za zimbabwe yote haya ameyafanikisha kwa kuwanyima wawekezaji wanje nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.