Recent content by Pawaga

  1. Pawaga

    JamiiForums Tanzania Home made incubator yenye ufanisi mkubwa.

    Kuna watu wamezoea ubishi aiseee. Mi ndio muhusika na nmeshafanya majaribio hayo Kuna siku hatukuwa na umeme toka saa 3 asbh mpaka saa 12 jion lkn nilitotolesha mayai yote.
  2. Pawaga

    JamiiForums Tanzania Home made incubator yenye ufanisi mkubwa.

    Hadi masaa 10 bila umeme Bado haiharibu mayai
  3. Pawaga

    JamiiForums Tanzania Home made incubator yenye ufanisi mkubwa.

    Habari? Katikat pitapita mitandaoni na kusoma vitabu tofauti tofauti juu ya hizi mashine za kutotolesha vifaranga nimefanikiwa kutengeneza Moja yenye uwezo wa mayai 33. Na nimefanya majaribio mara mbili imekuwa na ufanisi wa 100% yaan imetotoa vifaranga 66 kwa awazo zote mbili. Ili uweze...
  4. Pawaga

    JamiiForums Tanzania Jamani huu ni ugonjwa gan na dawa zake ni zipi?

    Ni powercef sio sef
  5. Pawaga

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kukipata kifaa hiki

    Nàweza kuagiza hata kimoja? Naagizaje?
  6. Pawaga

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kukipata kifaa hiki

    Temperature and Humidity controller kinaitwa
  7. Pawaga

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kukipata kifaa hiki

    Habari ya majukum wakuu? Naomba kujua kwa yeyote anayefaham wapi nàweza kupata kifaa hiki? Kinaitwa TEMPERATURE AND HUMIDITY CONTROLLER Kinauzwaje? Mi napatikana Iringa
  8. Pawaga

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kifaa hiki?

    Habari ya majukum wakuu?. Naomba kujua kwa yeyote anayefaham wapi nàweza kupata kifaa hiki? Kinauzwaje? Mi napatikana Iringa
  9. Pawaga

    JamiiForums Tanzania Nina laini za Uwakala wapi naweza kupata mtaji?

    Check inbox
  10. Pawaga

    JamiiForums Tanzania Nina laini za Uwakala wapi naweza kupata mtaji?

    Saiz nakula nini? Hiyo 1m ni mtaji wa biashara tu
  11. Pawaga

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kupiga simu zaidi ya mara mbili inakera sana

    Eeh kama ulivyokereka ww mkuu
  12. Pawaga

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kupiga simu zaidi ya mara mbili inakera sana

    Inakera zaidi mtu kuandika paragraph nyiiingi akizunguka zunguka kutoa maelezo ya wanaopia simu mara nyingi halafu point ipo paragraph ya mwisho
  13. Pawaga

    JamiiForums Tanzania Nina laini za Uwakala wapi naweza kupata mtaji?

    Iringa
  14. Pawaga

    JamiiForums Tanzania Nina laini za Uwakala wapi naweza kupata mtaji?

    Hujaona kuwa ni a laini za uwakala ndioo nilipifikia
  15. Pawaga

    JamiiForums Tanzania Nina laini za Uwakala wapi naweza kupata mtaji?

    Sio FRONT ni float halafu Mimi Sina wenzangu so usiniringanishe na hao
Back
Top Bottom