Mbunge wa kigoma mjini amefungua kuwa anaogopa kurudi nchii kwa sababu anahofia usalama wake baada ya kuikosesha tanzania mkopo mkubwa uliokuwa na thamani ya sh $500m katika sekta ya elimu.
Chanzo: VOA
. Zitto naogopa kurudi tz nimeambiwa nikirudi watanipiga risasi kama/Siwezi kuja nmetishiwa...
Umoja wa mabunge duniani wasikitishwa na kile kinacho endelea Tanzania baada ya aliyekuwa mbunge Tundu Lissu kutishiwa maisha na kushambuliwa.
Barua hiyo imekujaaa baada ya Tundu Lisu kwenda kulipoti katika umoja huo
. Umoja wa Mabunge waiandikia Barua TZ / Wasikitishwa kushambuliwa kwa Tundu...
Spika wa bunge Mh ndugai akasirishwa na Zito Kabwe kwa hatua yakuonesha kuwa na furaha baada ya Tanzania kunyimwa mkopo,
. BUNGENI: ndugai amtangazia vita zitto akija atueleze kwa nini anasababisha tanzania tunyimwe mkopo
https://youtu.be/UVsv36IolYw
Sent using Jamii Forums mobile app
Takukuru wa anza kazi ya kumchunguza kangi lugola kutokana na manunuzi ya vifaa vya jeshi la zima moto kutiliwa mashaka kuwa na ubadhifu wa pesa za serikali.
Hatua hiyo imekuja baada ya kauli ya raisi JPM kuikabidhi kesi hiyo katika tasisi ya kupambana na rushwa siku ya makabiziano ya nyumba za...
Mh Zitto mbunge wa kigoma mjini ameiambia BBC kuwa mkopo huo ulikuwa katika masilahi ya uchaguzi wa mwaka huu 2020 na sio elimu kwa maana katika shule zilizo orodheshwa zote sio mpya
Chanzo: BBC SWAHILI
. Zitto bila hofu azungumza mazito/ Ni kweli nliomba wa nyimwe mkopo huo...
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameamua kuweka wazi mambo ya siri ya Kangi Lugola baada ya kutumbuliwa.
IGP Sirro alikuwa akiripoti kila siku juu ya tabia yake ya kuwatukana Polisi kiukweli nilikerwa na hiyo tabia aliyokuwa nayo kwa Jeshi la Polisi, alisikika Rais Magufuli akizungumza...
Polepole aisoma barua ya Zitto kabwe iliyokuwa ikitakiwa kwenda ulaya, lengo kuu ya barua hii nikuomba kuinyima misaada nchi ya Tanzania.
Barua ya Zitto kwenda Ulaya yavuja/Polepole aiweka hadharani
Habari kubwa leo ni kutokana na alichokifanya Rais Magufuli kumtumbua Waziri Kangi Lugola.
Pia ameteuwa nafasi zingine zilizoachwa na wengine waliojiudhuli katika Jeshi la Zima Moto na kuwaongeza miaka mingine ya utendaji kwa mabalozi ambao muda wao umeisha.
Mabalozi hao ni pamoja na balozi...
Unacho ongea uko sahihi kabisa maan kwa sasa wabunge wa chama tawala hawana masilahi kwa hili taifa na wamebaki na masilahi yao
Wengi wao kwa sasa wanaangalia matumbo yao tuu na familia zao hawezi kwenda kinyume maana muda wowote hatokuwepo madarakan
#turelax
Sent using Jamii Forums...
Habari kubwa leo ni ya rais JPM kumtumbua alikuwa waziri wa mambo ya ndani Mh Kangi lugola baada ya kuonekana mapungufu na uzembe katika wizara hiyo,raisi Magufuli azungumza haya.
. Breaking JPM amtumbua kangi lugola kwenye mkutano / Hunifai tena jiudhulu
https://youtu.be/Q980BaKou6o
Sent...
Raisi wa marekani Donard Trump aweka vizuizi kwa nchi baadhi za africa pamoja na katazo kutoingia nchi marekani.
. Trump ato sababu za Tanzania kuwekewa vikwazo kusafiri Marekani
https://youtu.be/btga2aNgvmY
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmekuelewa sana ila kwa xx uhuru wa vyombo vya habr kwa xx haupo ,
Hayo uliyo yaongelea yapo na sio kama hawayaoni wana yaona tena vizuri maan a wengi wao wanaishi huko ila shida ni kwamba wakilipoti hayo maisha yao yako hatarini xo acha watupe udaku tu hakuna namna [emoji17][emoji17]
Sent...
Aliekuwa mmoja wa wazamini wa Tundu lissu ametaka Tundu Lisu arudishwe nchini haraka.
Amuandikia barua Mbowe akitaka kumsaidia kumuita Tundu lisu kuja nchini tena na asipokuja atamfungulia mashtaka
Source: Clouds fm
. Kumenuka Mbowe atakiwa amlete Tundu Lissu nchini Haraka / Aje tusimame...
Katibu mkuu wa chama cha CCM amtupia maneno makali alikuwa raisi wa awamu ya nne Dr Kikwete kwa kusema yeye ndie aliyekuwa chanzo kwa chama hicho kupolomoka
. Dr Bashiri amkashifu kikwete kwa maneno mazito / Kikwete ndie alieua chama chetu
https://youtu.be/lXdjcImhol0
Sent using Jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.