mambo vipi wana JF, kwema? Jina langu naitwa paulus baragi, natafuta marafiki ambao walisoma na mzee wangu aitwaye Nyakuwa Nyakitita Baragi nchini Urusi miaka ya 83 hadi 89 , alikua anasoma Mji wa Baku,azerbaijan ambayo kwa sasa imejitenga na urusi, nahitaj kukutana na rafiki yake ama mtu yeyote...