Recent content by paulo mlowe

  1. P

    JamiiForums Msaada wa kufadhiliwa nisome diploma ya afya

    Wadau naombeni msaada nahitaji soma diploma in clinical medicine ila naona mfukoni sina chochote na nilifanya application nikachaguliwa gvt mda WA kwenda ilibidi niailishe coz ya capital,na nikaomba tena nikachaguliwa private city college,Naombeni msaada kwa yeyote anayejua hata cha kunishauli...
  2. P

    JamiiForums Naomba kujua kama naweza kupata ufadhili kwa masomo ya diploma kozi ya Afya

    Tafadhari naombeni kujua kama kuna MTU anayejua taasisi yeyote au kampuni yeyeto inayotoa Ufadhili wa kusoma diploma Anisaidie;nimechaguliwa Mara tatu sasa nashindwa kwenda tatizo ada. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom