naunga mkono hoja kama hakuna haja ya tanganyika na zanzibar nia moja=TAN-ZA-NIA nchi iwe ni tanzania isiyotokana na muungano iwe na serikali moja zanzibar iwe mkoa
kama ilivyo magumashi kwenye hati ya muungano vivyohivyo huduma za kijamii,ruzuku ya pembejeo ni dili kwa wakubwa sikwamlengwa! iko wapi soko la mpunga wa mtazania? Nini chanzo cha mgogoro kati ya wazawa na wawekezaji wakubwa mf.huko mbeya na bode la kiru-babati hii nikutokana na usirikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.