Recent content by Paulinek

  1. Paulinek

    Uchambuzi na Marekebisho ya Rasimu ya Mtaala wa Elimu: Kuondoa Mambo ya Dini na Masuala Mengine ya Kukinzana na Katiba

    Hata kama ulisoma dini ww haimaanishi lazima na wengine wasome hvo hvo. Suala la dini serikali haitakiwi kugusa kwa maana kikatiba serikali haina dini iwejw leo wafundishe dini ya kiislamu. Pia ww ulijifunza kwasabbau ya shule aliokuchagulia mzazi. Wakiipitisha hvi inamaana dini ya kiislamu hata...
  2. Paulinek

    Huduma ya kukamua mafuta ya alizeti

    Natafuta watu wanaofanya huduma ya kukamua mbegu za alizeti Dar.
Back
Top Bottom