Recent content by Pauline rogat

  1. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kufuatia kauli ya Polepole ya kuwa CHADEMA walichapisha kura bandia ili kuchafua uchaguzi, CCM tunawataka mfungue kesi kuwashtaki CHADEMA

    Hata mtoto wa miaka mitano hataamini matokeo ya uchaguzi huu. Hata CCM wenye nia nzuri wanaukataa!
  2. P

    JamiiForums Tanzania Statement from the U.S. Embassy on Tanzania’s Upcoming Elections

    Kwa hiyo yaliyofanyika hapa ni ya haki????? Jamani wakre up!!
  3. P

    JamiiForums Tanzania UK statement following the Presidential Elections in Tanzania

    Wewe chagu wa malunde ni popoma ty!
  4. P

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusiichoke amani

    Kwa nini NEC na CCM wanachukia kutaja “Haki”???????? Kuwa ni tunda la amani???
  5. P

    JamiiForums Tanzania Hii ni ya Jioni hii kutoka AccessNow. Tunapigwa kila pande ya Dunia, Mungu atusaidie

    Tumekuwa nchi ya ajabu!
  6. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

    Mnaringia nyomi za wanafunzi na wafanyakazi waliolazimishwa???????
  7. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Itakuwaje kama Lissu akashinda Urais bila kupata Wabunge wa kutosha?

    Mna maana gani? Kama siyo NEC na upenfeleo wa wazi cvm ingekuwa wapi! Mtanzania anayechagua ccm ambayo imetumia fedha za nchi kihovyo kama walivyofanya hii miaka mitano hawastahili kuitwa watanzania!
  8. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Antiphas Lissu afanya mkutano Tunduru

    Cv wamekuwa walaghai mno na wanajiona Miungu!
  9. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Jamani rais Magufuli alifanya campaign Singida watu wa Singda walimpa heshima yake. Kwa nini yeye akaruhusu wahuni na policcm wamfanyie Lissu fujo? Haoni kuwa ni aibu kwake? Unajua kwa nini kiongozi akija katika nchi yako ni muhimu umlinde sana ili asipatikane na shida katika nchi yako kwani ni...
  10. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kutinga Chato keshokutwa

    Mungu atuepushe na wewe hapo!
  11. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tulia Ackson, Wana Mbeya tunasema fedha siyo za Rais fedha ni za umma, usitupotoshe

    Wanawake wote weusi wa ccm hawatachaguliwa nini??????
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ameshaanza kuunga mkono juhudi na kukiri kwamba tuko kwenye right track kuelekea kuwa kama Ulaya

    Nguvu ya uma! Angali policcm wanafanya nini Hai, Arusha, Mbeya, Tarime! Wizi!!! Wa kura kwa kutisha watu!
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ameshaanza kuunga mkono juhudi na kukiri kwamba tuko kwenye right track kuelekea kuwa kama Ulaya

    Kikwrte mwenyewe aliwatobolea kuwa aliyesogeza uchumi kutoka uchumi wa chini sama mpaka wa chini sana wa kati ni Mkapa RIP baba na JK mwenyewe. Wa sasa kasogeza kwa $100 tu kwamika mitano. Na lengo la Mkapa, Mungu ampumzishe kwa amani, ni 3m plus per person per year siyo 1m!!
Back
Top Bottom