Zduduz sema kijana nakusoma vilivyo ndan ya jamii,bt mwenzio nataka kukua post ya procu,and accontancy cha IAA, pia muccobs kwenye bussines and infomation technology.wazee nisaidieni maana cm yangu haina pdf ''paul c karani'' kwa majina
Zduduz sema kijana nakusoma vilivyo ndan ya jamii,bt mwenzio nataka kujua post ya procu,and accontancy cha IAA, pia muccobs kwenye bussines and infomation technology.wazee nisaidieni maana cm yangu haina pdf
Daaaah, kaka huo ndo uhalisia uliopo nchi mwetu.kiukweli yatupasa tubadilike maana tunafanya vitu kwa kuiga baadae wake au wanaume kuachika.plz bodo umbonga daaah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.