Poleni Sana watu walipenda qenda kutia saini asubuh ya kuingi ofcn xaa 8:30 kutoka hapo unaenda kukaa qa shoe shine mpaka saa 16:30 unaenda kutia saini ya kutoka ofcn .. Unaonekana unapiga kazn kumbe saini ndio inafanya kaz.. Poleni saana ...... Hali ngumu qa 7bu mlikuwa hamfanyi kazi zamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.