Recent content by Paul M.

  1. Paul M.

    Natafuta spair za simu

    Mimi ni fundi simu wa Muda mrefu, kwa sasa naishi mbeya willaya ya Mbarali. Nauliza gharama za spair bei ya Jumla. Vifaa ninavyohitaji ni speaker, Mic, Display za aina zote, sit cover, Housing, Motherboard na vingine vingi. Nauliza nikiwa na shilingi ngapi naweza kupata mzigo wa kutosha, Na...
  2. Paul M.

    Ninahitaji Mashirika au Watu Wa kunifadhili nisome Postgraduate ya Education.

    Nipo tayari kufanya kazi kwa huo mshahara.
  3. Paul M.

    Ninahitaji Mashirika au Watu Wa kunifadhili nisome Postgraduate ya Education.

    Nimejaribu kufanya hivyo lakini wengi wanakuwa hawniamini kwa sababu sina course za education, Kama unaweza kunisaidia kupata shule ya kufundisha nipate hiyo ada ningeshukuru sana.
  4. Paul M.

    Ninahitaji Mashirika au Watu Wa kunifadhili nisome Postgraduate ya Education.

    Naitwa Paul Mohamed, Nimehitimu Bacholor Of Science in Biology (BSC. Biology) Chuo Kikuu Dodoma mwaka 2013. Nimejaribu kuhangaika kutafuta ajira lakini jitihada zangu zimegonga mwamba. Nimepata wazo kwamba ningesoma postgraduate ya Education ningeajirika kirahisi, lakini nikiangalia kwa sasa...
  5. Paul M.

    Natafuta kazi ya Medical Representative

    Naitwa Paul Mohamed Naishi Mbeya, Natafuta kazi ya Medical Representative: Elimu yangu ni Bachelor degree in Biological Sciences (Bachelor of Science in Biology). Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote ile. Kwa mawasiliano: Mob. 0764768676 Email: paulmohamed48@yahoo.com
  6. Paul M.

    NiTAFUTA KAZI, Nina degree ya Biologia (BSc.Biology)

    Naitwa Paull Mohamed (28) Natafuta kazi yoyote. Nina degree ya Biologia(Elimu ya Viumbe hai), Kwa sasa naishi mbeya. Nina uwezo wa Kutumia Computer. cONTACT; 0764768676 Email paulmohamed48@yahoo.com
Back
Top Bottom