Recent content by Patrick Pas

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wakuu nahitaji nafasi ya kujitolea

    Naitwa Patrick nipo kigamboni miaka 22, namalizia chuo hapa chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere, kozi ya human resources management, degree. Lengo kubwa ni kupata hata sehemu ya kufanya kazi hata kujitolea walau iniweke busy nikiwa nasubiria cheti kitoke ili nianze kuomba kazi official...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Masomo yangu chuoni

    Namshukuru sana Mungu kanipigania hatimaye nimeweza kuondolewa hiyo retake nilikuwa na ufaulu mkubwa ila yalikuwa ni makosa ya mwalimu wa somo ila ndo hivyo walikula 50,000 yangu ya kukata rufaa, nashukuru hata kwenu wadau mliotoa ushauri hatimaye nimejua Mungu atabaki kuwa upande wangu daima na...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Masomo yangu chuoni

    Hamna kaka sikuwahi kuchukulia masomo poa nadhani kuna upepo mbaya tu umenipitia ila sina wa kumlaumu na sijilaumu, pia kwenda suma JKT sikupitia mafunzo ya JKT
  4. P

    JamiiForums Tanzania Masomo yangu chuoni

    Bachelor degree in human resources management
  5. P

    JamiiForums Tanzania Masomo yangu chuoni

    Habari ndugu zangu, Naitwa Paschal, nipo Dar es Salaam, Kigamboni. Nimekumbana na changamoto ya kimatokeo, kwani inatakiwa niingie mwaka wa tatu katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere. Hata hivyo, naona kuna uwezekano mkubwa wa kushindwa kuendelea kutokana na somo moja la semester ya...
Back
Top Bottom