Pole sana Kaka. Mimi nakumbuka yalinipata nilipokopa kwenye app za Zima Cash, Cash X na Pesa X. Walituma SMS hadi kwa ndugu wa damu na marafiki zangu kwamba ninadaiwa kisa tu, nimechelewesha marejesho!
Nilipata auheni kipindi cha app ya Branch International. Nilikuwa nikikopa na kufanya...
Hao madereva wamepata mafunzo kweli au wamepitishwa tu juu kwa juu? Madereva wote wa magari ya Serikali haswa wa viongozi hupaswa kupitia mafunzo maalum na baada ya kuyafuzu, hupewa ama hupangiwa nafasi husika au huwa chaguo la kwanza kwa ajili ya kuwaendesha viongozi. Ndo maana ya uwepo wa Chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.