Recent content by Patrick flugence Msuya

  1. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ushauri nimeamua kulima

    Kitu kinaitwa kilimo huwa lazima ufate kanuni kabla ya kulima. Kanuni hizo ni hiziapa 1)Ardhi 2)hali ya hewa la eneo hilo 3) naujue eneo hilo linaitaji kilimo gani 4) naufahamu sehemu hiyo inaitajika kwa majira gani miezi ya mwazoni au miezi ya mwisho ya mwaka ukishajua hapo sasa ndounaaza...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Anayopitia Cyprian Musiba yanatukumbusha kuwa tusiishi kwa kumtegemea mwanadamu kama kinga

    Unajua kila siku dalili zinazidi ya corona .mm embu ilivoaza ilikuwa kwa njia ya hewa mmm akiamungu mungu awe na sisi watanzania tuludie mungu tuache siasa
  3. P

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Chadema imedai kuwa mwenye kiti wao freeman mbowe amefikishwa mahakama ya kisutu kwa kesi ya kusomewa shitaka la ugaidi na kupelekwa gerezani
  4. P

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Rais wa tunisia kais saied amesitisha shughuli zote za bunge pamoja na kufuta kazi za waziri mkuu wa nchi hiyo mw. Hechim mechichi kufuatia maandamano ya wananchi waliolaumu chama kilicho madarakani
  5. P

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Mahakama ya kisutu : mahaka ya mkazi ya kisutu imefutia kesi ya dereva wa taski hakimu kumuachia uhuru alikuwa akiitwa kwa jina ya mousa twaleb alishitakiwa kwa kumteka mfanyabiashara maarufu mohamed Dewji
  6. P

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Habari leo Rais mwenyekiti wa baraza la mawaziri ya mapinduzi , Ali Hassan mwinyi leo ametengua uteuzi wa ukurugenzi wa idara ya nyaraka ya kumbukumbu ya zanzibar, Salum suleimani salum ,
  7. P

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Spika mh Ndugai amesema na bunge kuhusu makato ya tozo ya miamala kwa njia njema kwa kutekeleza miradi ya maendeleo ili ikifika 2025 Tanzania ipige atua kimaendeleo. Wanao pinga nivema wakatoa mawazo mbadala ya nini kifanyike
  8. P

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Nikweli kuhusu kutengenezwa chanjo ya corona Dunia inaangaika kuhusu corona ila shirika la afya who linaangaika kufafanua kuhusu chanjo inavyotengeneza. Vipi ni viungo vinavyotengeneza chanjo sasa hapa tujue Chanjo hiyo inajumuisha vipande vidogo vya vijiumbe vinavyosababisha magonjwa au...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Kuhusu chanjo ya corona Rais mama yetu alitutaarifu kuhusu chanjo zilizoletewa na watu waafya ila tunajiuliza hii chanjo niyakwetu au ya nchi nyingine? Tunaaza kujua mataifa ya uwarabuni walikaa na mama yetu kiongozi wetu mama Samia kwamazungumzo ya kuhusu chanjo ya kupigana na...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Kama leo sio mama yetu president Samia mambo ya kutuletea chanjo na nchi za uwarabuni kwani watanzania tupewe nini kiukweli watanzania hulalamika kila mda sijui wafanyeje serikali kila njia wanafanya ila watanzania wanaona nisiasa nashukuru Dorothy Gwajima kwakuwa mkali kwa madactari...
Back
Top Bottom