ILIPOISHIA SEHEMU ILIYOPITA
Waziri mkuu akakuna kichwa,akarekebisha miwani yake akasema.
“Nakubaliana na mawazo yako mheshimiwa Spika kuwa kwa sasa usalama wa Edger ni muhimu zaidi.Kama ulivyoshauri naomba suala hili liwe siri kati yangu mimi,wewe na Dr Olivia hadi hapo...
ILIPOISHIA SEHEMU ILIYOPITA
Dr Olivia akahisi kijasho kikimtoka baada ya taarifa ile ya Dr Jacob.Akakohoa kidogo kurekebisha koo lake halafu akasema
“Dr Jacob nashukuru kwa kazi kubwa mliyoifanya na kuokoa maisha ya Edger.Tulifanya jambo la msingi sana kufanya maamuzi ya...
ILIPOISHIA SEHEMU ILIYOPITA
“Olivia my love nimezungumza na rais,anashukuru sana kwa namna ulivyojitoa kumuhudumia Edger Themba.Rais anasema kwamba hakuwa na taarifa kamili kuhusu maendeleo ya Edger.Amekubali Edger akimbizwe nje ya nchi haraka sana kuokoa maisha yake.Tayari amekwisha zungumza...
ILIPOISHIA SEHEMU ILIYOPITA
“Nimesema nirejesheni katika chumba changu.Kila kitu kuhusu mfumo wenu anacho rais so go ask him” akasema Dr Olivia
“You gave him the codes?
“Nimewaambia kila kitu anacho rais.Muulizeni yeye atawapa maelekezo” akasema Dr Olivia.Kila...
ILIPOISHIA SEHEMU ILIYOPITA
“Devotha unadhani kuna ulazima wa mimi kuonana naye?
“Ndiyo mheshimiwa rais.Kuna ulazima wa kuonana naye.Yawezekana kuna jambo la muhimu sana anataka kukueleza vile vile tunahitaji kurudisha mfumo wetu ambao ni yeye pekee mwenye uwezo wa kuurejesha”...
ILIPOISHIA SEHEMU ILIYOPITA
“Ninashukuru sana IGP kwa taarifa hiyo yenye kutia moyo.Ninakuomba uongeze nguvu zaidi na hakikisha unafanya kila uwezalo Dr Olivia apatikane”
“Tutafanya kila tuwezalo mheshimiwa rais na ninakuhakikishia Dr Olivia atapatikana”...
ILIPOISHIA SEHEMU ILIYOPITA
“Mheshimiwa rais ninakushukuru sana kwa maneno hayo ambayo yametupa faraja kubwa sana na matumaini ya kumpata mwanetu akiwa salama.Kwa niaba ya familia yangu ninasema ahsante sana” akasema Agrey
“Nimeagiza kupewa ripoti kila baada ya saa moja...
Ndege ya shirika la ndege la Tanzania ilitua katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam ikitokea nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.Ndege ilisimama mlango ukafunguliwa na abiria wakaanza kushuka.
Mtu mmoja ambaye mavazi yake yalionyesha ni mfanyakazi wa...
Naitwa Patrick Ck mwandishi wa simulizi mbali mbali kama vile
MISS TANZANIA
SERENA
BEYOND PAIN
BEFORE I DIE
PENIELA
THE FOOTBALL
QUEEN MONICA
I DIED TO SAVE PRESIDENT
I WAS WRONG
TEN CHAPTERS
BRING BACK OUR GIRLS
KIAPO CHA JASUSI
KIKOSI CHA SIRI
Kumekuwa na matumizi mabaya ya baadhi ya kazi za...
Naitwa Patrick Ck mwandishi wa simulizi mbali mbali kama vile
MISS TANZANIA
SERENA
BEYOND PAIN
BEFORE I DIE
PENIELA
THE FOOTBALL
QUEEN MONICA
I DIED TO SAVE PRESIDENT
I WAS WRONG
TEN CHAPTERS
BRING BACK OUR GIRLS
KIAPO CHA JASUSI
KIKOSI CHA SIRI
Kumekuwa na matumizi mabaya ya baadhi ya riwaya...
Naitwa Patrick Ck mwandishi wa simulizi mbali mbali kama vile
MISS TANZANIA
SERENA
BEYOND PAIN
BEFORE I DIE
PENIELA
THE FOOTBALL
QUEEN MONICA
I DIED TO SAVE PRESIDENT
I WAS WRONG
TEN CHAPTERS
BRING BACK OUR GIRLS
KIAPO CHA JASUSI
KIKOSI CHA SIRI
Kumekuwa na matumizi mabaya ya baadhi ya riwaya...
RIWAYA : KIAPO CHA JASUSI
SEASON 1
SEHEMU YA 8
MTUNZI:PATRICK CK
MAWASILIANO :0764294499
ILIPOISHIA SEHEMU ILIYOPITA
“Mheshimiwa rais ninaomba sana unisaidie katika hilo.Ni suala ambalo linanikosesha usingizi na hadi sasa tumeanza kufikiria hata kutumia njia nyingine za...
RIWAYA : KIAPO CHA JASUSI
SEASON 1
SEHEMU YA 7
MTUNZI: PATRICK CK
MAWASILIANO :0764294499
ILIPOISHIA SEHEMU ILIYOPITA
“Nina jambo moja ambalo nataka unieleze ukweli.Unamfahamu huyo mwanamke aliyetoka hapa kuungama muda si mrefu?
Padre Thadei akasita kujibu
“Father...
RIWAYA : KIAPO CHA JASUSI
SEASON 1
SEHEMU YA 6
MTUNZI: PATRICK CK
MAWASILIANO :0764294499
ILIPOISHIA SEHEMU ILIYOPITA
“Kila siku ninazidi kujiona kijana kwa ajili yako kutokana na mambo unayonifanyia.Unanionyesha mapenzi mazito sana.Kila uchao...
RIWAYA : KIAPO CHA JASUSI
SEASON 1
SEHEMU YA 5
MTUNZI: PATRICK CK
MAWASILIANO :0764294499
ILIPOISHIA SEHEMU ILIYOPITA
"Noah ahhmm !! rais akasita kidogo akanyamaza halafu akavuta pumzi ndefu na kusema
"Nimepokea taarifa muda mfupi uliopita Dr Isaack amefariki dunia"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.