Nyumbu kabisa,hivi miradi ikienda sawa si ndo mnasema mmetekeleza ilani ya chama?sasa mbona ikienda vibaya hamsemi kwamba ni moja ya ilani ya chama?let's talk about dar es salaam tunamuona makonda kila siku anapiga kelele kwamba miradi inatekelezwa na ccm kwani pale hujui kwamba mayor ni wa...
Kwani mbunge anahusika nini hapo maama anayehidhinisha fedha za ujenzi wa miradi ni mkurugenzi na anatuma auditors wake wakague ndo wamletee taarifa.....watanzania tuache kukurupuka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.