Naona hamna mtu hata mmoja alieongelea swala la kudhalilisha wanawake.. neno 'kuchapa'..ambalo hutumika na wanaume kwa wanawake linaashiria mfumo flani wa kudhalilisha..na ndo maana mara nyingi huambatana na majigambo kuwa nimemchapa ule mschana n.k.. hii ni 2014 tunahitaji mabadiliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.