Recent content by Pata Pata

  1. P

    JamiiForums Tanzania Salary scales -Alliance for a Green-Revolution in Africa (AGRA)

    Wakuu habari, Nina interview @ Alliance for a Green-Revolution in Africa (AGRA) nafasi ni Grants Officer kwa anayewajua salary zao kwa nafsi hii naomba anijuze. Ahsanteni Pata
  2. P

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mafuta kwa Toyota Ipsum

    Mkuu Mani kukosa pesa mbaya sana, mtu unashindwa kununua gari ya juu maana bei imechangamka! mwisho wa siku tunaishia kuweka spacer, rim kubwa, tyre size kubwa! ila ni kweli gari likifanyiwa haya kuna athari kadhaa.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mafuta kwa Toyota Ipsum

    Lakini ulipoweka si liliinuka?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mafuta kwa Toyota Ipsum

    Una uzoefu wa kuweka matairi yenye size kubwa/au kuweka rim zenye size kubwa kwa ajili ya kulinyanyua ili kulifanya lipite vizuri kwenye mashimo?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mafuta kwa Toyota Ipsum

    Mkuu una uzoefu wa kutumia IPSUM yenye 4WD? hii gari ni nzuri sana kwa matumizi ya familia au safari ambayo imezidi watu wa5, kingine injini yake ndo hiyo ipo kwenye baadhi ya harrier, klugger na rav4.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

    Mkuu inategemea na gari kuna gari ukiwa kwenye 140 kph wala hutohisi kama ni hataree na hiyo ni speed ya kawaida kwa wapenda mbio, ila kama kigari chenyewe chepesi kweli ukifika hiyo 140 lazima utaona mwitikio wa gari sio wa kawaida ila migari mizito utaona sawa tu! na ndo maana wakati mwingine...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Msaada Je inawezekana kuyatoa mabampa haya?

    Poa thanks kwa ushauri! cheers
  8. P

    JamiiForums Tanzania Msaada Je inawezekana kuyatoa mabampa haya?

    Thanks kwa ushauri, ngoja nikawaulize hao wachina kwanza, na hao wa magomeni pia kabla sijaagiza
  9. P

    JamiiForums Tanzania Msaada Je inawezekana kuyatoa mabampa haya?

    Duh Grinder tena!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Msaada Je inawezekana kuyatoa mabampa haya?

    Ahsanteni sana kwa ushauri wakuu je cha kufanya hapa ni kufanya mchakato huko huko japani zitolewe (namaanisha bampa zima pamoja na huo urembo waliouongeza) then ziwekwe zingine ambazo ni za kawaida halafu ndo ije bongo ingawa nitaingia extra costs ,au je naweza agiza kama ilivyo then nikaja...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Msaada Je inawezekana kuyatoa mabampa haya?

    Habari wanajamiiforums, Nina mpango wa kuagiza toyota IPSUM toka japani na gari nimeshalichagua ila gari yenyewe imeongezewa mabampa kama mishale kwenye picha inavyoonyesha. Mapampa haya yanaifanya gari kuwa chini na yatachakaa mapema sasa nafikiria gari ikifika bongo niende kwa mafundi body...
Back
Top Bottom