watanzania tunatakiwa tuwe waangalifu kuhusu hili suala la shirikisho. Kwa upande wangu naona si wakati muafaka sasa hivi. Tuna tofauti nyingi mno, kiuchumi, kiitikadi, hali ya usalama, kielimu n.k. Tusikimbilie kuiga wenzetu wa jumuiya ya Ulaya wamekomaa kisiasa. wanaweza kuambizana ukweli...