Recent content by pastoryjoshua123

  1. pastoryjoshua123

    Mh. Kangio

    Huyu waziri wa mambo ya ndani mh. Kangi Lugola safari hii polisi na raia walitegemea mambo makubwa sana kutoka kwake matokeo yake yeye kila siku anadili na polisi tuuu mara kwenda vituo vya polisi eti ninja oohh sijui nini hakuna alichowasaidia hawa polisi wetu zaidi ya kuwavunja moyo tu...
  2. pastoryjoshua123

    Ubalozi wa Marekani watahadharisha kutokea kwa mashambulizi maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam

    hahahahah serikali ipo bega kwa bega na wananchi wake haiwezi kuacha suala kama hili litokee think twice
Back
Top Bottom