Recent content by pasii

  1. P

    Hatimaye Mbunge wa Kyela asikika akizungumza bungeni

    Bahati nzuri unazungumzia haya mtandaoni lakini ukienda Kyela kwenye Site Erythrocyte utakuwa una matege kwenye masikio yako. Mbunge wa Kyela jana katika mchango wake pamoja na kwamba alitakiwa kushauri serikali juu mambo ya jumla ya Budget ya Taifa na sio ya kijimbo lakini bado amegusia Mambo...
  2. P

    Tuzo za kimataifa zamnyemelea Godbless Lema

    Mwanyamaki, ubunge umekushinda Kyela, ukadanganya kwenda mahakamani lkn umeishia kudanganya basi acha uongo
  3. P

    Je, ni sahihi Mbalawa kubaki?

    Je, ni sahihi Mbalawa kubaki? Nimekuwa nikitafakari na kufuatilia jinsi serikali ya Jemedari wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli inavyofanya kazi, kwa weredi na ufanisi mkubwa sana. Mtanzania yeyote ambaye ni mzalendo hawezi kupuuza wala kuacha kufurahia na kuunga mkono juhudi hizi. Lakini Mimi...
  4. P

    Uongozi wa CHADEMA KYELA uchunguzwe haraka sana

    KESI ZA UCHAGUZI-UBUNGE MBEYA Kesi nne zimeshalipiwa gharama "security for cost" na zitatajwa Jumatatu, Dec 28, 2015 Mahakama Kuu Mbeya. KESI ZILIZOLIPIWA NA ZITATAJWA JUMATATU; Kesi ya Mwambigija-Rungwe Kesi ya Mkisi-Vwawa Kesi ya Mwang'ombe- Mbarali. Kesi ya Dr. Siame-...
  5. P

    Kikwete ana siri ya makontena

    Kibogo tunatakiwa kutafakari kwa kina kabla ya kuhukumu watu. Mimi nadhani ni vizuri tuwe na maswali ya kujiuliza. Hivi Waziri ameandika report na kuipeleka ngazi husika halafu kabla ya kujua nini hatima ya report yake raisi anamhamishia wizara nyingine je, hapo alitakiwa kujiuzulu kwa...
  6. P

    Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

    Waacheni waandamane na kumfuata Lowassa lakini serikali hii ni ya CCM. Si mmeona Mamvi alivyofyata mkia? Mwaka huu wataisoma namba hasa kwa kasi hii ya Magufuri maana na wao ICD zao zimo kati ya zilizofungiwa.
  7. P

    Tunapocheka Wanapolia, Tusisahau Tutaacha Kucheka na Kuanza Kulia!

    Mwanakijiji there you are these hints must be born in mind by every tanzanian.We have to support Magufuri with all our efforts and by all means, by doing this we must be aware of the consequences. Kila kiumbe duniani kinategemeana na kingine ili kuishi.Leo wadudu wote wakifa ujue pollination ya...
  8. P

    Sakata la mabehewa mabovu: Vigogo wa TRL kufikishwa Mahakamani

    Umeliona hilo eneo au unabwatuka tu? Piga picha na weka vielelezo vya ununuzi wa hilo eneo.
  9. P

    Sakata la mabehewa mabovu: Vigogo wa TRL kufikishwa Mahakamani

    Yule waziri husika ndiye aliyeunda tume ya kuchunguza sasa unamhusishaje na kwenda mahakamani? Maana hata kutoa ushahidi hausiki, wahusika ni tume aliyokuwa ameiiunda.. Mwakyembe ana akli kuwazidi nyie hawezi kuingia kwenye vitamaa. Tunajua Richmond bado inawatesa sana. Mwakyembe hamumpati.
  10. P

    Sakata la mabehewa mabovu: Vigogo wa TRL kufikishwa Mahakamani

    Ila laki pesa kweli umeishiwa ni hakuna tena. hivi tangu lini waziri akawa mtendaji wa wizara? Nenda shule kasome tena kama hukusoma elimu ya uraia. Mnapalamia mitandao kwa kutumwa huku kichwani mkiwa weupe pee. Kwa taarifa yako sasa wanunuzi wa mabehewa ni kitengo cha procurement katika idara...
  11. P

    Mhe. Rais Dkt. Magufuli Hongera, Mkutano wa Paris. Ushauri wangu

    Ni kweli kabisa Myao wa Kaskazini maana kuna watu bado wanaota Lowassa kuwa rais na ndio maana wameona aibukie kwenye mwili wa marehemu Mawazo huku wakifanya show na spare tyre yake Sumaye. Tume wakamata pabaya maana hawajui kwamba ni siku chache tu zimebaki hao mabwana zao wataumbuliwa. God...
  12. P

    Mwakyembe, Sitta 'walisafisha' nini Bandarini?

    The Boss, unatumika vibaya sana na hujui unachotumika nacho. Waambie hao wanaokutuma, waangalie haja za kukutuma nazo. Hivi unafikiri bila kazi ya TPA wakiwa chini ya Mwakyembe wasingetunza kumbukumbu taarifa zingepatikana wapi? Sasa kwa kukusaidia tu mchezo ulikuwa kama ifuatavyo, waliwatumia...
  13. P

    Mwakyembe, Sitta 'walisafisha' nini Bandarini?

    Kwani umesikia kuna MTU amelalamika kuibiwa kontena?
  14. P

    Mwakyembe, Sitta 'walisafisha' nini Bandarini?

    Duh mpaka sasahivi watu hawajaelewa. Hivi hao mawaziri wanahusika je na ushuru wa makontena? Je mmeambiwa bandari haikukusanya pesa za uingizaji wa hayo makontena? Ukweli ni kuwa walfage imelipwa na makontena yako kwenye records ya bandari ILA kule TRA hayoko, ndio maana suala hapa hakuna...
  15. P

    Rais Magufuli afuta sherehe za maazimisho ya siku ya UKIMWI, fedha zinunue dawa...

    Xmas ipo, vipi ile kesi yetu ya kupinga matokeo kyela, ipo?
Back
Top Bottom