Wadau wa maendeleo,
Nahitaji a power cable/USB adapter ya Kinect XBox 360 Sensor ya kuweza kuconnect Kinect Sensor kwenda kwenye computer.
Hata ikiwa used ni poa, muhimu iwe inafanya kazi. Ni muhimu kujua ni ya XBox 360 na SIYO XBox One.
Cable na adapter yenyewe ni kama hii kwenye picha.
Bado hakutazuia makampuni mengine kufanya biashara hizo miji mengine.
Hoja yangu ni kuwa na center ya sanaa na kazi zingine za ubunifu. Ukielewa hoja yangu utaelewa faida na mantiki yake.
Kuwekeza katika kila mji kwa jambo hilo hilo kunapunguza ufanisi wa sekta nzima.
Makampuni yakiwa sehemu moja kunasaidia coordination na ushirikiano wa karibu. Inakuwa one-stop center.
Ningekuwa na mamlaka husika ningechagua mji mmoja ambao ungejengewa miundo mbinu mbalimbali halafu wadau mbalimbali wa sanaa wakapewa motisha ya kuwekeza sehemu hiyo.
Katika mji huo kutakuwa na studio mbalimbali za production, studio za muziki, makampuni ya usaili wa wasanii, makampuni ya...
Tatizo ni kuwa ili jambo lolote lifanikiwe na liwe endelevu inabidi wahusika wawe na wito na/au wapewe msukumo fulani, mfano pesa.
Muhimu kuliko vyote ni kuwapata watu wenye passion na jambo husika. Wanaweza kufanya hata bure ukiwapa nafasi. Sasa walipe hao watu vizuri wafanye kazi uone matokeo...
Nimeona ni busara kuhifadhi jina lake ila ni tatizo la kawaida sana kwenye picha za vikao vya Ikulu.
Ukiacha watu kukatwa, picha ya pili pia imepinda. Hii wangeweza kufix kwenye editing software.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.